Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

Kilichofanyika Leo kwa waandishi was habari na vyombo vyao no aibu kubwa sana kwa Tasnia ya habari na nchi yetu.Ushauri wangu wapinzani has a chadema tafuteni namna ya kucover habari zenu has a kwa kutumia social media na watu wenu mliowaamini kufikisha habari kwa jamii.waandishi was habari walishatekwa na watawala zamani.pia tumieni majukwaa kuwaeleza wananchi juu ya hujuma hii kubwa, msikae kimya
 
Yaani hao Chadema miaka nenda rudi wanapokea ruzuku hawajaweza kujipanga kitaarifa? Iliwazuia nini kuwa na online TV hata kuwa na TV station? Chama Changu nimeshanunua Channel 10 na Radio Uhuru angalao hata ikikosekana Habari huko vyombo nguli vya Habari lakini sisi tutarusha. Hapa sina cha kuwaonea huruma kabisa. Walitakiwa wajue media ni powerful tool na kwa demokrasia yetu media private haijakaa sawa. Nawaambia muda michache huu jitahidini muwe na kitu Chenu.
 
Ilikuwaje ukawa ccm na bado ukawa na akili nyingi kiasi hiki? Waulize wenzio kina Bashiru,Polepole na Kabudi. Yaani walipoingia tu ccm wakakumbana na sharti la kuacha akili mlangoni. Sasa hivi wakifungiwa chumbani Polepole na Msukuma au Bashiru na Lusinde ukiwa nje ya chumba huwezi kutofautisha yupi ni yupi labda uwatofautishe kwa sauti zao na sio maudhui ya wanachoongea.
 
Baada ya Kujazwa 'Hofu' na Wanafiki pamoja na 'Wapumbavu' hao waliomzunguka ili Wao waendelee 'Kujineemesha' huku Yeye 'akichukiwa' mno.
Now you know! Ukaribu wa Mwenyekiti na Bashite umetokana na hiyo dhana,kwamba ataangamiza wote wanaompinga. Ikafika mahali akavitumia hadi vikosi vilivyo chini ya Ikuli kutekeleza hiyo dhana,nakwa mkutadha huu Bashite alijineemesha Sana kiuchumi kwa kile kilichoitwa kazi maalumu kuzurula Marekani,Ufaransa etc. KUNA MTU ALIDAI BASHITE ALIWAHI KUWEKA LOUD SPEAKER SEA CLIFF HOTEL ILI KUWATHIBITISHIA ALIOKUWA ANAPANGA NAO MAMBO MAOVU KUWA ANA BARAKA ZA BABA YAKE WAKUFIKIA
 
'Shahawa' zilizotumika tu Kukuleta duniani hivi huenda zingetumika Kwingineko zingekuwa na Manufaa na Tija na siyo kwa huu 'Upumbavu' wako.
Halafu anajiita "kuku dume" kwa mujibu wa username yake. Ngoko( kuku) ngosha(dume) Nimemtukana kimoyo moyo tusi baya Sana kisukuma.
 
Kwani sheria za uchaguzi zinasemaje kuhusu media???tuanzie hapo
 
Dah... where's KWANZA TV? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…