- Thread starter
- #21
😂😂 Tatizo lake ana haraka sana mkuu yani siku 4 tu dalili tayari.Kitu ya mchongo mkuu, hata day one ile ile atakwambia anahisi anamimba yako 🤣🤣🤣
Angepoapoa kama wiki 2 hivi hapo niaingestuka mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Tatizo lake ana haraka sana mkuu yani siku 4 tu dalili tayari.Kitu ya mchongo mkuu, hata day one ile ile atakwambia anahisi anamimba yako 🤣🤣🤣
Kaka acha tu kuna mpuuzi alinipiga ela hivi hivi. Toka siku hiyo nikajifunza kufanya tafiti nijue walau kiasi kuhusu mimba.mimba ya siku tatu,.ndio nasikia leo
Ukiwaambia hawasikii! Ufahamu umefungwa, kwao huo ni ukidume eti!!? Wakipigwa na kitu kizito kama hivi ule ukidume unapotea wote!Achen uasherati vijana
ndio kilichomkuta jamaa hapo masaa 12 tu ameshaanza kutapika na uchovu juu.Kitu ya mchongo mkuu, hata day one ile ile atakwambia anahisi anamimba yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😁Kitanda hakizai haramu mkuu, mimba ni yako. Jiandae kwa malezi na umuweke mama kwenye maombi. Upeleke mahari basi tuvae sare sie.
Hapoy new year baba kija
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Daa angesikilizia hata wiki mbili zipiteKaka acha tu kuna mpuuzi alinipiga ela hivi hivi. Toka siku hiyo nikajifunza kufanya tafiti nijue walau kiasi kuhusu mimba.
Na hii ikanipa ukakasi nikaona nilete jukwaani.
Tukimjumuisha na mama yako utakasirika ama ??.Wanawake ni Mashetani
Heri ya Christmas stranger...
Hahaha stranger. Mwokozi Yesu amezaliwa kweli kweli,
Haleluya!
Umemisika. Kwema?
Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
Mbona hii story kama yangu sema huyu mchepuko wangu mm nilipita naye tar 21...ndo akaniletew habar kama hizi zakoMambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.
Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo hizo habari za kua anahisi uchovu na kulala lala na pia kuna dalili kazihisi so huenda ana mimba.
Keshokutwa yake yaani jumanne ya leo tareh 28/12/2021 anasema kapima na kakuta ana mimba kweli.
Nami nikaona si vibaya nikakijua zaidi kipimo alichotumia na nikaperuzi jf kidogo nikakutana na majibu kinzani kuhusu uhalali wa kipimo hicho kutumika ndani ya siku chini ya wiki na majibu yaliyotoka.
Wakuu naomba kuuliza, je ni muda gani mwanamke anaanza kuhisi dalili za kua ana mimba?? Na ni kweli ni siku 3 baada ya sex ama??
Na je hicho kipimo huwa kinatoa majibu sahihi hata kwa mimba za siku 6??
Na njia gani nitumie kujua kama ana mimba ili kujiridhidha na je kuna uwezekano wa kujua umri wa mimba??
Nawasilisha.
Yeah almost n after 14days ....SIO YAKO.
HCG mpaka iwe detected na hizi UPT ambazo ni Qualitative test ni mpaka level yake ianzie 20mIU/ml ambayo huanzia angalau siku ya 12 ,14 nakuendelea baada ya mimba kutungwa. !!.
Mkuu unamjua shetani?Wanawake ni Mashetani
Mambo vipi wakuu..