Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

Halafu magazeti kama haya yanaendelea kupeta tu..
Habari kama hii ingeandikwa na yale magazeti yasiyopendwa na watawala yangefungiwa siku hiyo hiyo
 
Serikali hii imeyaua kabisa magazeti kwani hayanunuliwi tena, watu wanasoma vichwa tu na kuondoka.
 
Pole kiongozi, umepoteza charge ya simu kupiga picha gazeti ambalo hata kufungia vitumbua tu halifai.
 
Tena wapinzani hawajaitumia vizuri teknolojia. Wangezungusha zile clip za Magufuli za ahadi hewa na sauti ya upole za 2015 na kuzilinganisha na za baada ya kuwa Rais, na kumwonyesha alivyo muongo, zingekuwa kampeni ya kutosha kabisa.
subiri tarehe 26
 
Back
Top Bottom