Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi
Chadema
CCM
ACT Wazalendo
Chaumma
Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna
Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi lilijiita G 55 watu waliohama kutoka CDM kwenda Chaumma
Hawa watu bhana kwenye Mitandao ya kijamii ni kama wamechanganyikiwa wakiongozwa na yule jamaa mwandishi wa vitabu
Hawa watu kimwili wapo Chaumma ila kiroho wapo CDM nguvu wanayoitumia kupambana na CDM inazidi ata waliyoitumia kupambana na Ccm wakati wa kampen za uchaguzi
Na mbaya zaidi wanatumia hoja dhahifu katika kutetea wanachokiamini Yan wamejikita zaidi katika propaganda kuliko ukweli wenyewe , Yan wanakuwa kama wamekatwa vichwa wakati wa kutengeneza hizo hoja zao
Sikuwahi kumjua vizuri huyu mwandishi wa vitabu ila nilipoona aina ya hoja zake anazozitumia kuishambulia hyo CDM kiukweli nimeshika tama
Kama taifa , kama bado tunategemea watu wenye fikra kama za hao jamaa ndo watutetee kwenye ukanda wa kimataifa kwakweli bado tuna safari ndefu ya kuutafuta uhuru wetu.