Je, hii ni aibu kwa spika Job Ndugai?

Walishindwa ukuta hadi serkali za mitaa
Wasiokua na ubongo ni pamoja na nyie mlioshindwa kila kitu na mkashindwa hata kutimiza vile vitisho vya kuingia barabarani halafu mkakimbia nchi
 
Kitu ambacho hamjui au hamtaki kujua nyumbu kama ninyi ni kuwa kila kitu kina utaratibu na channels za kufuatwa. Spika HAAPISHI wabunge from the blue.
 
Alishatoa utetezi wake.
Yeye aliletewa majina na NEC na wajibu wake ni kuwaapisha.
Tunachotakiwa kujua ni kuwa kama kweli CDM hawakupeleka majina NEC na kama kweli barua ya kuwavua uanachama wameshamfikishia supika.
Kama barua ya kuwavua uanachama imemfikia supika hapo kesi inabadilika lakini mpaka leo hatujaona hata nakala ya barua toka CDM kwenda kwa supika.
Hii ngoma bado mbichi na mjue kuna diplomasia inatembea chichini (taifa ni muhimu kuliko Chama au Mtu),mliyoayaona ACT msishangae yakaibukia CDM.
 
Umesahau Spika wa Tanzania is above the law?
Hashitakiwi hata akishastaafu, ndio sheria iliopitishwa ,hata kama alikwenda kinyume alipokuwa akitekeleza majukumu yake kama Spika.
 
mama D
Jiulize kati ya ahadi hizo za mwanaccm, ni ahadi ngapi zinatekwlezwa na mwanaccm wa Leo?
 
Walikimbiza sana ......kutoshitakiwa kwa speaker kulikuwa kuna maana .....kama hili pia wewe pitisha, sigina katiba hakuna wa kukugusa !!!
 
Nimeyaandikia mabunge yote chini ya common wealth wameniahidi kumtenga na kutompa ushirikiano... Bado hatua nyingine zinafata!!! Ubabe wakitoto
 
Sidhani kama kuna bunge la kisanii kama hili, ni aibu mno kwa spika kuwa kiongozi wa bunge ambalo yeye binafsi ameajibika kulivuruga kwa kiwango kikubwa. ndugai ni mfano bora wa kuepukwa na ma-spika wote wajao.
 
Wanatukimbia hawa vilaza wa ufipa
Hivi nani wa kuwakimbia nyie?
Kwanza nyie elimu inaonekana zero!
Ndio maana kujenga hoja hakuna anaeweza sijui mlijichagua vilaza watupu!
Anyway, nafikiri ni chama chenyewe kimeishiwa
 
Kitu ambacho hamjui au hamtaki kujua nyumbu kama ninyi ni kuwa kila kitu kina utaratibu na channels za kufuatwa. Spika HAAPISHI wabunge from the blue.
Labda unazungumzia spika wengine lakini si huyu...
 
Kw huo uwezo duni wa kufikiri na kutafakari, inaonekana wazi kuwa kinachokuendesha ni MAYALA/njaa
 
Umesahau Spika wa Tanzania is above the law?
Hashitakiwi hata akishastaafu, ndio sheria iliopitishwa ,hata kama alikwenda kinyume alipokuwa akitekeleza majukumu yake kama Spika.
Uchawi haujui kustaafu,anaweza akapatiwa busha si lakawaida,uchawi hauna mipaka.
 
Chadema hawajapeleka barua ya kuwafukuza hao covid 19 kwa spika kwa vile mchakato wa kufukuzwa kwao haujakamilika, baada ya kusikilizwa rufaa yao Baraza kuu na Baraza likaidhinisha kufukuzwa kwao ndipo Spika atajulishwa rasmi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…