Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Ukifuatilia maoni ya Watanzania kwenye mitandao ya kijamii utagundua tu dhama za ulaghai wa Chama cha Mapinduzi zimefika ukingoni.Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
View attachment 3311935
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?
Time for change ndio hii, elimu wanayosambaza cdm ni next level, lazima mtanznaia akombolewe kifikra kwanza, after that mabadiliko menginr hayatakuwa magumuHii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
View attachment 3311935
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?
Kila mtu anaonges nyuma ya keyboard anauwezo wa kureason na kutoa hoja ya msingi kwa sababu hakuna anayekuona na kukujua.Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
View attachment 3311935
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?
Kwenye uchaguzi wa huru na haki, mamlaka zinatoka kwa Mungu, lakini kwenye dhuluma, ushetani ndio unatawala!Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
View attachment 3311935
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?
Mabadiliko ni mabadiliko tu... Wewe huogopi?Kila mtu anaonges nyuma ya keyboard anauwezo wa kureason na kutoa hoja ya msingi kwa sababu hakuna anayekuona na kukujua.
Shida ni kuzungumza hayo ukiwa Live katika kadamnasi ama mbele ya mhusika.
Lazima angezitoa... Hali haikuwa poa kabisa!Jamaa katoa comments hazipo tena
Katoa nini?Jamaa katoa comments hazipo tena
Anaona spana zinawaka moto kwa hio kakimbia kupigwa spanaKaamua afunge na comments
Daniel alikataa kutii Amri ya Mfalme Dario kwa sababu ilikuwa kinyume na mpango wa Mungu, na wale wote waliohusika kumkamata Daniel waliliwa na wale simba ambao walitakiwa kumtafunaHii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
View attachment 3311935
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha upinzani wa wazi wazi kwa alichokipost Bw. Gerson Msigwa!
Kinachofikirisha ni kuwa maoni mengi yanamjibu na kumuuliza maswali magumu ambayo hawezi kujibu hadharani!
Je, hii ni ishara kuwa WaTanzania (ukiacha machawa na wasanii) kwa sasa huwezi kuwapelekesha utakavyo?
Je, serikali sikivu inasikiliza na kuzingatia hayo maoni ya wananchi?
Je, itafanikiwa kudhibiti hilo wimbi la wenye mawazo mbadala?
Mt. Petro aliyesema hayo maneno," Mamlaka zatoka kwa Mungu" alikufa kifo kibaya,kauawa na hao Mamlaka.Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇