Hebu tuletee hata hiyo screenshot ya kufungwa Comment section. Hii itaonyesha namna spana zinavyowapata indirect 🤣
Ukipitia ukurasa wa X wa Samia.
Ni maajabu , page ya rais imeficha maoni ambayo ni spana kwake.
Page ya rais imeanza kublock kwa wingi watu wanaomkosoa.
Bahati nzuri Elon Musk amesaidia uhuru wa maoni comments zikifichwa utaona hata mtu akikublock utaona post zake bado.
Hebu jionee spana zilizofichwa na bado ukitaka unaziona tu.
View: https://x.com/SuluhuSamia/status/1914260652291416533?s=19
Aliniwahi!Umeshindwa kabisa kutuletea hata comment chache tusome mkuu?
Mungu anasingiziwa mengi sana; hata yale ya uchafu!Kwenye uchaguzi wa huru na haki, mamlaka zinatoka kwa Mungu, lakini kwenye dhuluma, ushetani ndio unatawala!