Je, hii ni ishara ya mabadiliko makubwa kwenye mindset za waTanzania?

Ukipitia ukurasa wa X wa Samia.

Ni maajabu , page ya rais imeficha maoni ambayo ni spana kwake.

Page ya rais imeanza kublock kwa wingi watu wanaomkosoa.

Bahati nzuri Elon Musk amesaidia uhuru wa maoni comments zikifichwa utaona hata mtu akikublock utaona post zake bado.

Hebu jionee spana zilizofichwa na bado ukitaka unaziona tu.


View: https://x.com/SuluhuSamia/status/1914260652291416533?s=19
 
Wanao ficha comments hadharani hivi nadhani gizani wanateka, wanatesa, wanadhuru na kuua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…