Je, hii ni sawa kwa media kutoa maoni ya kukandamiza timu za nyumbani?

Je, hii ni sawa kwa media kutoa maoni ya kukandamiza timu za nyumbani?

Yanga ikikamilika haoa kwa mkapa mamelodi hachomoki, waombee kina aucho, yao yao na pacome wawe wodi ya mwaisela la sivyo wataipata pata.
Hawa wote wageni ushindi wao haoa ni sare, wakipata sare wakafanye sherehe kwao huko.
Nimekaa paleee
 
Hawajakandamiza ila ni uhalisia hapo ni sawa na Kipofu anaenda kupigana na Mike Tyson kwahiyo jibu la atakaekandwa ni nani linajulikana
 
We jamaa inavyoonekana ni hata hujui misingi ya vyombo vya habari.
Vyombo vya habari havitakiwi kuwa na upande ndiyo maana chombo cha habari chenye kuonesha mapenzi fulani kwa upande fulani waziwazi basi huanza kupoteza mvuto.

Nini maana ya serikali kuzi support timu zote mbili katika hatua zilizofikia.

Hauangalii Azam tv the way wanaziterm simba na yanga na namna wanavyozielezea kuelekea mechi zao.

Kilichofanywa na EATV Sio professionalism
Chombo cha habari kuwasikiliza washabiki wanasemaje na kuripoti kulingana na washabiki wanavyosema, huko ndiyo kutokuwa na upande.

Chombo cha habari kikianza kusimamia washabiki washangilie upande fulani, kwa vigezo vya siasa, uzalendo, amri kutoka juu, na ujinga mwingine kama huo, hapo kimechagua upande.

Huelewi nini hapo?

Kwa nini unataka kuufunga ushabiki wa michezo kisiasa kwa Simba na Yanga tu?

Kwani Mtanzania hawezi kuipenda Mamelodi Sundowns au Manchester United, timu isiyo ya Tanzania ambayo kaikubali kwa kuangakia uchezaji wa mpira tu, bila kujali siasa za timu ni ya kutoka nchi gani?
 
Salaam wakuu.

Hivi sasa tunaona serikali na wadau mbalimbali wakitoa support kwa timu za mpira za simba na yanga kuelekea michezo yao ya robo fainali klabu bingwa barani afrika.

Inatokea media yenye waandishi wa mchongo na kupost maneno yenye ukakasi yasiyo na chembe ya kutia moyo timu za nyumbani licha ya hali halisi.


Hii sio sawa kwa media kubwa kama EAST AFRICA RADIO/TV KUPUBLISH UJINGA HUU.

Haijakaa kitaalamuView attachment 2940741
Manlodi Samdauni chama kubwa

1711039978988.png
 
Back
Top Bottom