MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na wewe umesahau unafiki na uongo wako kuwa Yanga imewahonga Rivers billion 2 ili washinde match ya matokek ya 2 bila?Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....
"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"...
Mightier a.k.a Poisonous poleni sana n kichapo kutoka kwa Wakongo.Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....
"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"...
Leo utaandika nyuzi 50 apa maana ni Kama vile dishi limeyumbishwa na vumbi la Kongo ueleweki unachomaanisha unaweweseka tu Kama vile umerukwa na akiliKabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....
"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"...
Yanga SC ingekuwa na Intelligent Fans kama ulivyo Wewe hivi Ndugu nina uhakika mngefika mbali sana katika Mashindano yote mnayoshiriki ila bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.Pamoja na "uyanga" wangu...
Nilikuwa makini mno kufuatilia mechi yenu mliyochabangwa jioni ya jana.....
Kiukweli ni kipimo tosha watani wetu hususani kwa ajili ya mechi zenu za KLABU BINGWA.....
Tuweke "unazi" pembeni....TP ni timu nzuri iliyokutana na timu imara.....SSC inahitaji muda mfupi tu kuupata muunganiko "MPYA"....
Leo mlitengeneza/kupata nafasi nyingi za KUFUNGA zaidi ya TP...je ni nani wa kusema SIMBA "bomu"?!!!!
Msalimie sana kiungo wenu "Sadio Kanoute"....amenikosha ile mbaya ππ
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Na najua kwa Upumbavu wako uliamini.Na wewe umesahau unafiki na uongo wako kuwa Yanga imewahonga Rivers billion 2 ili washinde match ya matokek ya 2 bila?
Genta ndiyo nani? Naitwa Mightier sawa?Kuna mtu anaekushinda wewe Genta kwa unafiki na undumelakuwili hapa jukwaani?