Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

Kwenye Siasa hamna kitu kama chicho.
Huwa ni swala la muda tu.
 
GT.
Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu".
Mkisaliti mapambano x3

View attachment 3347734
Teknolojia hakika ni balaa lingine hili.

Kuna watu hivi sasa wanatamani tungekuwa katika stone age ili mambo fulani fulani waliyosema na kutenda yapotelee huko milele.
 
Ah kumbe hata chadema kuna chipukizi 😂 sikujua hili.

Ila mbona kuna chadema humu wanapinga nyumbu wa ccm kuwatumia watoto siasani?
 
G 55 wameshiba zao ubwabwa! Wakiona clips kama hizi wanatamani kuutapika huo ubwabwa, ila kwa bahati mbaya wanashindwa.
 
Back
Top Bottom