Je, hiki kinachompata Nay wa Mitego ndiyo sababu ya kuwa na Wasanii wengi Tanzania wanaojinasibu kuwa ni CCM?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata.

Ila tumeoma wasanii waliokataa kuvaa kijani namna wanapelekeshwa na mkono wa dola, leo BASATA wamewaita kesho BASATA wamewafungia, kesho kutwa wameitwa kwa Pilato ili mradi tu kuwatia jambajamba waone kusimama na Wananchi na kuwafumbua macho ni kitanzi.

Je, Wasanii wa Tanzania ni kwa ajili ya kukibeba chama cha kijani kionekane kina wafuasi wengi na si kuiongoza jamii kutambua ukweli wa mambo ili waweze kufanya maamuzi sahihi?

Haya endeleeni kuwapa tuzo hao wanaoimba, chomeka, chomoa ingiza toa, weka mate ziteleze nk huku mkiwabugudhi wanaosema uwajibikaji kwa Taifa ni muhimu nyie si ndio mmeshika kwenye mpini nani atawasumbua na huku kashika kwenye makali bwana.

PIA SOMA
- BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'
 
Hivi kuna lipi la kujiuliza hapa.
Hiyo BASATA mkuu wake ni nani na aliwekwa hapo na nani.

Kidogo inashangaza watu kuendelea kuhoji kwa nini haya mambo yanafanyika kama yanavyo fanyika. Yule polisi aliye wanyang'anya akina Mnyika mawani kule Mbeya, anamfanyia kazi nani?

Angalia sehemu zote ambazo wakuu wake wapo mstari wa mbele kuzima yasiyo mpendeza mtu wao, tena kwa vurugu kubwa' halafu uje hapa useme kati yao una mashaka juu yake kuhusu kazi anayo mfanyia Samia.
 
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi'
Kwenye nchi zenye tawala zenye Itikadi ya Ukomunisti/Ujamaa, mtu yoyote yule ambaye ni msema Ukweli, mpigania haki, mpinga wizi, rushwa au ufisadi, mpinga dhuluma, au mtu anayekosoa utawala, basi mtu huyo anahesabika kuwa ni Adui mkubwa sana wa utawala uliopo madarakani.
Get informed.

RIP Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila.
RIP Dkt. Sengondo Mvungi.
RIP Prof. Juan Mwaikusa.
RIP Stan Katabaro.
 
Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata.

Ila tumeoma wasanii waliokataa kuvaa kijani namna wanapelekeshwa na mkono wa dola, leo BASATA wamewaita kesho BASATA wamewafungia, kesho kutwa wameitwa kwa Pilato ili mradi tu kuwatia jambajamba waone kusimama na Wananchi na kuwafumbua macho ni kitanzi.

Je, Wasanii wa Tanzania ni kwa ajili ya kukibeba chama cha kijani kionekane kina wafuasi wengi na si kuiongoza jamii kutambua ukweli wa mambo ili waweze kufanya maamuzi sahihi?

Haya endeleeni kuwapa tuzo hao wanaoimba, chomeka, chomoa ingiza toa, weka mate ziteleze nk huku mkiwabugudhi wanaosema uwajibikaji kwa Taifa ni muhimu nyie si ndio mmeshika kwenye mpini nani atawasumbua na huku kashika kwenye makali bwana.

PIA SOMA
- BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'
Screenshot_20241010-223547.png
 
Ni upuuzi tupu.

Tuhuma uchwala, kwani kitu gani alichosema hapo ni cha uongo?

Msanii Ney wa Mitego ameongea vitu vya Ukweli kabisa ambavyo vina Ushahidi wote kabisa.

Aidha, msanii huyo ametumia vizuri Sana kipaji chake cha Sanaa katika kufikisha ujumbe maalumu kabisa ambao kwa sasa hapa Tanzania unagusa maslahi mapana zaidi ya umma.
Wimbo huo yafaa uachwe huru ili uendelee na kazi yake ya kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa kwa lengo la kulinda maslahi ya umma.

Narudia tena kusema kwamba
Kwenye nchi zenye tawala zenye Itikadi ya Ukomunisti/Ujamaa, mtu yoyote yule ambaye ni msema Ukweli, mpigania haki, mpinga wizi, rushwa au ufisadi, mpinga dhuluma, au mtu anayekosoa utawala, basi mtu huyo anahesabika kuwa ni Adui mkubwa sana wa utawala uliopo madarakani.
Get informed.

RIP Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila.
RIP Dkt. Sengondo Mvungi.
RIP Prof. Juan Mwaikusa.
RIP Stan Katabaro.
 
Wasanii kibao wameimba nyimbo za kiharakati na kukosoa ila hawajawahi kukamatwa. Mr II, Wagosi wa kaya, Prof Jay na Joh Makini wana nyimbo za kuhoji mambo ya kitaifa lakini hawajawahi kubugudhiwa. Wao hawatumii maneno ya kukera kufikisha ujumbe. Nay wa mitego kwa upumbavu wake hutumia maneno ya hovyo yasiyovumilika ndo maana anasumbuliwa. Wagosi waligusa kila sekta lakini fresh tu walieleweka. Joh Makini baada ya vurugu za Arusha mwaka 2011 alitoa wimbo wa Bye Bye lakini naye hakufanywa kitu. Nay ajifunze kwa waliomtangulia.
 
Hao wote waliimba kipindi cha Jakaya baba wa demokrasia sio cha hawa ficha upumbavu wako.
 
Wasanii kibao wameimba nyimbo za kiharakati na kukosoa ila hawajawahi kukamatwa. Mr II, Wagosi wa kaya, Prof Jay na Joh Makini wana nyimbo za kuhoji mambo ya kitaifa lakini hawajawahi kubugudhiwa. Wao hawatumii maneno ya kukera kufikisha ujumbe. Nay wa mitego kwa upumbavu wake hutumia maneno ya hovyo yasiyovumilika ndo maana anasumbuliwa. Wagosi waligusa kila sekta lakini fresh tu walieleweka. Joh Makini baada ya vurugu za Arusha mwaka 2011 alitoa wimbo wa Bye Bye lakini naye hakufanywa kitu. Nay ajifunze kwa waliomtangulia.
 
Attachments

  • 20240929_170116.jpg
    20240929_170116.jpg
    29.8 KB · Views: 5
Wasanii kibao wameimba nyimbo za kiharakati na kukosoa ila hawajawahi kukamatwa. Mr II, Wagosi wa ka.
Unazungumzia utawala upi? Mbona mifano yako ni ya nyuma sana!

Uchawa na udhibiti wote huu uliasisiwa na JPM... Na kwa wasanii alianzia kwa Roma.

Nay anafikisha ujumbe wake kwa usahihi kabisa.

Tatizo ni nyie mnaowapangia wakosoaji namna Bora ya kuwakosoa!
Shame on you!
 
Kwenye nchi zenye tawala zenye Itikadi ya Ukomunisti/Ujamaa, mtu yoyote yule ambaye ni msema Ukweli, mpigania haki, mpinga wizi, rushwa au ufisadi, mpinga dhuluma, au mtu anayekosoa utawala, basi mtu huyo anahesabika kuwa ni Adui mkubwa sana wa utawala uliopo madarakani.
Get informed.

RIP Mchungaji Dkt. Christopher Mtikila.
RIP Dkt. Sengondo Mvungi.
RIP Prof. Juan Mwaikusa.
RIP Stan Katabaro.
🙋‍♂️✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏🛡️
 
Back
Top Bottom