Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

Hao ni kina John ,lakini sababu ya bibi zetu ,na kina shangazi kushindwa kuyatamka hayo majina wanaamua kuwaita Johani ..
Same na Christopher wanawaita Tofa.!
 
USHAMBA TU KUJITIA SWAGA TU...UTALIFURAHIA JINA LAKE MWANZONI TU...ILA LITALETA ATHARI MBAYA BAADAE...MAANA LIMEKAA KIKIKE KIKE...KWANI UKIMUITA MWANAO GEORGE, JOSEPH JOHN MOSES UTAPUNGUKIWA NINI...?

MWANAO AKIWA NA JINA UNIQUE UNAFAIDIKA NINI NA HILO JINA..? UNALIPWA BEI GANI KWA UNIQUENESS YA JINA...?

ACHANENI NA MAJINA YA TAMTHILIA KWA SABABU HIZO NI TAMADUNI ZA WATU...SI KILA KITU CHA KUIGA...

MWANAUME USIMWACHIE MWANAMKE MAMLAKA YA KUMPA JINA MWANAO WA KIUME...
 
Back
Top Bottom