Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ohh kumbeNi mkristo, Jumanne limekaa kiislam na kipwanipwani sana.
Ohh kumbeNi mkristo, Jumanne limekaa kiislam na kipwanipwani sana.
Waafrika hatuna utamaduni kabisa, naona kila jina la makabila yenu sasa ni ya kishenzi tuu.Ndugu zangu .
Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN"
naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
Atiii? haya sawa Bi Mwajuma Ndala Ndefu TUMEKUSIKIAJina ni utambulisho tu, mtoto wa kiume hata umuite Farida hawezi kubadilika jinsia yake wewe.
Wasukuma hao, kuna jamaa wa kuitwa Juma na mlokole safi, nilipomuuliza alisema kabatizwa na jina hilohilo, huko kwao mambo ya majina ya kidini hawazingatii.kuna mikoa ndanindani huko hawajali sana haya mambo ya jina la kikristo wala kiislamu
hii dhana yenyewe tu haijakaa sawa 😁
Min-wooWangu nitampa jina la korea 😂
Mazur sana kuyatamkaMin-woo