Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Google mkuu.we umelitoa wapi kwani
Uzungu mwingi, mwisho wa siku dogo akikua anakua halipendi jina lake na ndio mwanzo wa kujichukia na kutojiamini.Muite Jonas au Yohanes
Ilo limekaa kike zaidi
tumia ya kibantu -- achana na majina ya mabeberuGoogle mkuu.
πππ basi amuite Gwakisa tuUzungu mwingi, mwisho wa siku dogo akikua anakua halipendi jina lake na ndio mwanzo wa kujichukia na kutojiamini.
Wangu nitampa jina la korea πtumia ya kibantu -- achana na majina ya mabeberu
limekaa kama JohanitaNdugu zangu .
Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN"
naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
Au kiliiiHao ni kina John ,lakini sababu ya bibi zetu ,na kina shangazi kushindwa kuyatamka hayo majina wanaamua kuwaita Johani ..
Same na Christopher wanawaita Tofa.!
Yeye anataka linaloanza na Jπππ basi amuite Gwakisa tu
Kama atazaliwa mwezi wa nane muite Octavian (octava means nane)Yeye anataka linaloanza na J
Jhakobo
Joshua
Joni
Josefu
Joakimu
wazee wa mashukaWangu nitampa jina la korea π
Kweli kabisa kuna mwamba nae apendi jina lakeUzungu mwingi, mwisho wa siku dogo akikua anakua halipendi jina lake na ndio mwanzo wa kujichukia na kutojiamini.