Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

mkuu
 
Jina ni utambulisho tu, mtoto wa kiume hata umuite Farida hawezi kubadilika jinsia yake wewe.
kwa muendelezo wa "afya ya akili" watamtania wenzake - anaweza akajitoa uhai
 
Ndugu zangu .

Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN"

naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
Miaka ya 70s alikuwepo mchezaji soka maarufu wa Uholanzi na dunia aliitwa Hendrik Johannes Cruijff almaarufu "Johan Cruyff". Hivyo hilo jina ni la kiume. Tatizo ni hapa bongo huyo mtoto anaweza kutaniwa kwa kuitwa "Joan"
na kama hayupo imara anaweza teseka sana wenye ukuaji wake kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…