Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

Kiongozi, umewah ona kiongozi mkubwa au kamanda let's say anaitwa kijina kama hicho ???
Mtoto wa kiume mtafutie jina la kibantu ...
Muriro ,
Sirro,
Wambura,
 
Kweli kabisa kuna mwamba nae apendi jina lake
Wengi tu mkuu, mi langu nalipenda ila mara nyingi linaniletea kashkash ni gumu kutamka, sio jina maarufu kabisa.

Na la ukoo ndo kabisaaa, jina kama mzizi na refu. Hamna mahali nimeenda kuweka au kutoa pesa wakala akaweza kusoma majina yangu, la kwanza akishindwa anahisi la pili ni rahisi nalo akijaribu anababaika tu, naishia kumwambia ni hilohilo.
 
Reactions: Lax
Najua umeipenda J na terminal N, mwite Justin, Johan sounds kidemu zaidi
Asante mkuu nimeliweka akilini. Ila vipi kuhusu jonathan mkuu.. ?

Na je, kati ya hivi Johnnathan na Jonathan ipi iko vizuri na haitoleta shida kwenye majina baadae akifanya usajili
 
Ndugu zangu .

Je, ni sahihi kumuita mtoto wa kiume "JOHAN"

naombeni pia faida na hasara zake katika jamii?
Kama mama yake ana tako mbinuko basi jua na mtoto atarithi tako kama ni hivyo ILO JINA LINAMFAA SANA 🌈🌈
 
akishapata kigugumizi ndo ishara kwamba jina limetoka lenyewe 😁
 
akishapata kigugumizi ndo ishara kwamba jina limetoka lenyewe 😁
Ukiona anapata gagaziko jua tu ndo lenyewe, unamwambia hilohilo anaishia kuguna tu "mmmh" hili jina kwani unalitamkaje?
 
Reactions: Lax
Kiongozi, umewah ona kiongozi mkubwa au kamanda let's say anaitwa kijina kama hicho ???
Mtoto wa kiume mtafutie jina la kibantu ...
Muriro ,
Sirro,
Wambura,
Mwita
Chacha
MALONGO
MABULA
Kuna majina ya wanaume jamaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ila Wazazi wa sikuhizi wanahangaika jamani πŸ˜… aah
Mimi sijui huyo baba atamwita mwanangu jina la kituko gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…