LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Hapo chacha !!!Kama anaswaki asubuhi mikwaruzo in given
Bado kijana only 25yrs mzeeNakazia maana ,Unajikuta kakumalizaaa ,uchumi utayumba tuu, alafu mwisho Moton uko unachomwa kama kawaida kwa dhambi za Uongo ,n.k.
Hapa utaambiwa samehe 7*70 ... Saba mara sabin =490 ..... Toka umezaliwa mpaka hapo ulipo,Hujasamehe mara 490???
Mkuu huyu alikua mchepuko au umeoa?? Au ndo kijana bado??
Ila nasikia wataalam wa mambo wanasema homa ya ini ni hatari kuliko hata hii HIV ukweli ni upi?Naungana naww , Aende kupima tu kwanza ..usikute ni Hepatatis tu .
Lkn shauku Ni moja, Km ni Hepatatis kwann hakuwa muwazi kwake??...
Kwahiyo hii in PrEPS,na sio PEPS,Huyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .
Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.
Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
Ndo maana yake,homa ya INI in mbaya mnooIla nasikia wataalam wa mambo wanasema homa ya ini ni hatari kuliko hata hii HIV ukweli ni upi?
Nenda kapime. Kama ukionekana umeathirika nitafute kwa msaada zaidi. Unaweza kupona kabisa na kuendelea na maisha yako ya kila siku kama kawaida. Huna haja ya kuwa na hofu wala kuficha. Dawa ipo. Huna haja ya kutumia ARVsMiezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.
Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?
View attachment 830687
Usiwaogopeshe. Acha watu wapime wajue afya yao ikoje.Mnaoenda kupima kunakitu mnakitafuta na mtakipata
Mkuu kwanza pole sana kwa kilichotekeaDenda nilikula ila oil sikupima
Kiwembe kishaisha makali hiki. Kama huamini hebu nijaribuHuuuhuuuu....utakuwa kiwembe we babu
Cha kuongezea kama anatumia dawa vizuri bila kupitisha mda na ametumia mfululizo uwezekano wa kukuambukiza ni mdogo mnoMiezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.
Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?
View attachment 830687
Hata magonjwa hupatikana kwenye hiyo "for fun" yako.Na baadhi ya mahusiano huwa is just for the funny siyo serious
Virusi vya ukimwi vipo kwenye mate pia.Kwani mkuu kuna romance ya aina gani na gani?
Asante mkuu kwa ushauri umenipa nguvu na kunitia moyo..........chochote nitakachokutana nacho nitaleta hapa kama ushuhuda.......Mkuu kwanza pole sana kwa kilichotekea
Usiogope kuna jamaa mmoja member wa hii forum anaitwa idrissi yeye aliwahi kudate na msichana kama huyo na alikua anatumia ARVs lakini hawakuwahi kufanya mapenzi siku moja alinyonywa uume mpaka akafika kileleni kwani siku hiyo demu alikua yuko kwa siku zake hivyo wakati wamelala usiku jamaa katika kuamka kwenda chooni kama Mungu akasema aangalie pochi ya mwanamke akakuta hivyo vidonge alijiuliza sana akawa ana mashaka ikabidi agoogle akagundua ARVs basi akamwamsha na demu akawa amekiri ni kweli ameathirika.
Basi yule jamaa akaweka uzi humu watu wakamshauri kwa namna mbalimbali nili-pm akaelewa akaenda kupima mara ya kwanza kujua kama alikua ana maambukizi au la akajikuta yuko safi baada ya miezi 4 akapima akajikuta yuko poa safi kabisa lakini kabla ya miezi 4 alikua katika wakati mgumu sana.
Nakuhakikishia mkuu kama hujapima oil,ujazama chumvini na hujapiga deep kiss uko safe kabisa na hata kama ungekula kama ungekuwa umetumia mipira basi uko salama,,,
Virusi vya ukimwi kwenye mate havikai mkuu hivyo ni ngumu kupata labda kuwe na michubuko.
Mwisho:nenda kapime leo ukikutwa una ngoma basi ujue hiyo ya mda kama uko salama kaa kwa miezi 3 ukapime tena ujiridhishe.
Ashukuru Mungu dada kaanza dose.Zilaaaniwe genyee
Kuna viumbe wana roho mbaya.Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??
Wee sema ivi,Mzigo wako umekula Na iko kikopo cha dawa umekikuta wee
Kama umekula mzigo usiwaze, tulia tuli..
Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.
Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".
Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???
Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
Tena ini baya kuliko HIV AIDSHuyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .
Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.
Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani