Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Nakazia maana ,Unajikuta kakumalizaaa ,uchumi utayumba tuu, alafu mwisho Moton uko unachomwa kama kawaida kwa dhambi za Uongo ,n.k.

Hapa utaambiwa samehe 7*70 ... Saba mara sabin =490 ..... Toka umezaliwa mpaka hapo ulipo,Hujasamehe mara 490???

Mkuu huyu alikua mchepuko au umeoa?? Au ndo kijana bado??
Bado kijana only 25yrs mzee
 
K
Huyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .

Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.

Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
Kwahiyo hii in PrEPS,na sio PEPS,
Kama ndivyo,kuna vyangudoa kibao has a Nairobi wanakunywa Preps kabla hawajaenda viwanja ili kujikinga,maana hii in pre exposure tofauti na PEPs ambazo in post exposure
 
Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.

Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?

View attachment 830687
Nenda kapime. Kama ukionekana umeathirika nitafute kwa msaada zaidi. Unaweza kupona kabisa na kuendelea na maisha yako ya kila siku kama kawaida. Huna haja ya kuwa na hofu wala kuficha. Dawa ipo. Huna haja ya kutumia ARVs
 
Mnaoenda kupima kunakitu mnakitafuta na mtakipata
Usiwaogopeshe. Acha watu wapime wajue afya yao ikoje.
Kwa sasa ukimwi si tishio tena. Tishio ni ugonjwa wa kutoamini vya kwetu isipokuwa vya Mzungu
Tiba ipo. Tiba asili inayoponya kabisa ukimwi na kansa.
 
Mimi nipo kulichunguza kwa makini ili box la dawa ili siku nikikutana nalo nijue box la dawa gani
 
Denda nilikula ila oil sikupima
Mkuu kwanza pole sana kwa kilichotekea

Usiogope kuna jamaa mmoja member wa hii forum anaitwa idrissi yeye aliwahi kudate na msichana kama huyo na alikua anatumia ARVs lakini hawakuwahi kufanya mapenzi siku moja alinyonywa uume mpaka akafika kileleni kwani siku hiyo demu alikua yuko kwa siku zake hivyo wakati wamelala usiku jamaa katika kuamka kwenda chooni kama Mungu akasema aangalie pochi ya mwanamke akakuta hivyo vidonge alijiuliza sana akawa ana mashaka ikabidi agoogle akagundua ARVs basi akamwamsha na demu akawa amekiri ni kweli ameathirika.

Basi yule jamaa akaweka uzi humu watu wakamshauri kwa namna mbalimbali nili-pm akaelewa akaenda kupima mara ya kwanza kujua kama alikua ana maambukizi au la akajikuta yuko safi baada ya miezi 4 akapima akajikuta yuko poa safi kabisa lakini kabla ya miezi 4 alikua katika wakati mgumu sana.

Nakuhakikishia mkuu kama hujapima oil,ujazama chumvini na hujapiga deep kiss uko safe kabisa na hata kama ungekula kama ungekuwa umetumia mipira basi uko salama,,,

Virusi vya ukimwi kwenye mate havikai mkuu hivyo ni ngumu kupata labda kuwe na michubuko.

Mwisho:nenda kapime leo ukikutwa una ngoma basi ujue hiyo ya mda kama uko salama kaa kwa miezi 3 ukapime tena ujiridhishe.
 
Kumekuwa na kawaida ya vijana wengi kufanya kondomu kama kifaa cha mwisho na mwishowe hupata maambukizi.

Atakula denda na kunyonya ndimi,atanyonya uchi na kutia vidole huko kote kama alikua na michubuko basi tayari ameshapata maambukizi mwisho wa siku anakuja kuvaa kondomu tayari ameshanasa na haitamsaidia kwa chochote.

Pia tuepuke kufanya rough sex mapenzi ya kukomoana yaani mpaka unapata michubuko ukidhani unamkomoa mwanamke ni ujinga unakuta kijana anapiga goli hata 3+ mfululizo hajui kuwa ukifanya sana kule kunakuwa kukavu na michubuko lazima itatokea tu.

Tuache kujifanya wajuzi na watundu hasa kwa watubambao hatujui afya zao na ndo maana ni rahisi kwa kahaba kukosa ukimwi kuliko watu wa kawaida..maana kahaba ukifika unavaa kondomu no romance unaweka unaachia mzigo unasepa ila sisi wa kawaida utataka ulambe mpaka naniliu.

Tutakwisha
 
Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna mwanamke nilikutana naye. Sikusex naye zaidi ya romance (Nashukuru Mungu). Siku mbili zilizopita nimesikia kuwa ni muathirika na anakunywa dawa na rafiki zake wamekuta hiko kibox chini wanadai ni cha ARV's.

Juzi baada ya kupata hizo taarifa amezidi kuniganda! Naomba kuhakikisha je ni kweli?

View attachment 830687
Cha kuongezea kama anatumia dawa vizuri bila kupitisha mda na ametumia mfululizo uwezekano wa kukuambukiza ni mdogo mno
 
Mkuu kwanza pole sana kwa kilichotekea

Usiogope kuna jamaa mmoja member wa hii forum anaitwa idrissi yeye aliwahi kudate na msichana kama huyo na alikua anatumia ARVs lakini hawakuwahi kufanya mapenzi siku moja alinyonywa uume mpaka akafika kileleni kwani siku hiyo demu alikua yuko kwa siku zake hivyo wakati wamelala usiku jamaa katika kuamka kwenda chooni kama Mungu akasema aangalie pochi ya mwanamke akakuta hivyo vidonge alijiuliza sana akawa ana mashaka ikabidi agoogle akagundua ARVs basi akamwamsha na demu akawa amekiri ni kweli ameathirika.

Basi yule jamaa akaweka uzi humu watu wakamshauri kwa namna mbalimbali nili-pm akaelewa akaenda kupima mara ya kwanza kujua kama alikua ana maambukizi au la akajikuta yuko safi baada ya miezi 4 akapima akajikuta yuko poa safi kabisa lakini kabla ya miezi 4 alikua katika wakati mgumu sana.

Nakuhakikishia mkuu kama hujapima oil,ujazama chumvini na hujapiga deep kiss uko safe kabisa na hata kama ungekula kama ungekuwa umetumia mipira basi uko salama,,,

Virusi vya ukimwi kwenye mate havikai mkuu hivyo ni ngumu kupata labda kuwe na michubuko.

Mwisho:nenda kapime leo ukikutwa una ngoma basi ujue hiyo ya mda kama uko salama kaa kwa miezi 3 ukapime tena ujiridhishe.
Asante mkuu kwa ushauri umenipa nguvu na kunitia moyo..........chochote nitakachokutana nacho nitaleta hapa kama ushuhuda.......
Ni miezi miwili sasa inaenda tangu huo mkasa unitokee
 
Eti marafiki zake wamekuta kichupa wamekichukua??? Wamekuja kuletea wewe??

Wee sema ivi,Mzigo wako umekula Na iko kikopo cha dawa umekikuta wee
Kama umekula mzigo usiwaze, tulia tuli..

Vituo vya Afya ni Bure kabisa kucheki Afya yako.

Nakm hukua mkomoaji 'Unaweza kua na Bahati ikiwa nayeye tu ametaka kukuokoa".

Swali ni je,,,Anaweza kua nahuruma nawewe ikiwa alikukubalia mtongozo wako???mpaka anakupa romance ?? Bila kukuambia???

Mimi nakushauri ,Ukikuta Umeungua,Mshitaki kwa kukuambukiza kwa makusudi... Ukishindwa mshitaki ,Mfanyie kitu ambacho hatokaa akisahau.
Kuna viumbe wana roho mbaya.
Yani anajijua hali yake,hata kumu alert mwenzie hawezi!!
 
Huyu mwanamke kama atakuwa anatumia hii combination ya dawa mbili pekee basi atakuwa na homa ya ini(hepatitis) .

Maana tiba yake inatumia combination 2 ya dawa za ARVS ambazo ni Tenofovir na emitricitabine kama kibox kinavyoonekana.

Pia hii dawa ndio ile ilitangazwa siku za hivi karibuni huko mkoani Mbeya kama kinga ya ukimwi,..... Kuna uzi wake hapa jukwaani
Tena ini baya kuliko HIV AIDS
 
Back
Top Bottom