Je, hili ni box la vidonge vya ARV?

Pointi ya msingi kapime tu kwanza,,kwani hizo dawa zinatumika pia kwa wagonjwa wa homa ya ini(hepatatis B),..inawezekana pia sio ukimwi
Homa ya ini huambukiza hata kwa kubadilishana fluids?
 
Kuna viumbe wana roho mbaya.
Yani anajijua hali yake,hata kumu alert mwenzie hawezi!!
Watu wanaroho mbaya Bro , kama mtu anatoa kafara , ona mtu anamuua mwenzake kwa makusudi ..... Alafu siku ya kiama mnakua naye moton

Haaaaaa hapana .... Watu wanaroho mbaya
 
Hapo kwenye homa ya ini ndo balaa zaidi, bora ingekuwa ukimwi. Homa ya ini unapata maambukizi hata kwa denda
 
Amuambukize ebola
 
Kama una wasiwasi sana miezi miwili inatosha kabisa kujua afya yako nenda kapime

Mnapata wapi ujasiri wa kuanzisha mahusiano bila kupima? Kuna watu hamna uoga aisee.....Jifunze kupitia hilo.
Kwahiyo kila mahusiano ukitaka kuanza UNAPIMA....na je baada ya kupima kuna CHANJO mnapewa ya kutopata UKIMWI katikati ya mahusiano yenu ???
 
Acheni kujitia kujua, kumbe mnapotosha! HIV ingekuwa kwa urahisi huo ungekuta kila mtu anao, jitahidi kupitia references juu ya risk of transmission, hakuna andiko lolote lililowahi kuonyesha French kiss zinasambaza!

Zaidi ni kuwa mate yana enzymes ambao wana inhibit retrovirus!!


Kwako mtoa maada maisha ni delicate usiyachezee, ni bora hata kama ni one night stand ukapime, la kama hataki kupima mwacheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…