Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
kwa hilo halina ukweli
ila ninavyo jua ni kwamba nyoka ukianza kutema mate kabla yake basi nyoka yeye huwa anakosa nguvu ya kutema mate
Ndio kusema nyoka anakuwa ameathirika kisaikolojia!