Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

Geofree

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
44
Reaction score
5
Nimesikia kuwa unapomuona nyoka ukimtemea mate anaganda na hatembei.....sijui ni kweli?
 
sio kwel ht kdogo..hata kdogo..tena. ht kdogo..
nlikulia na kuishi sehem ambayo kuna nyoka wengi sna na wa kila aina na utoton tuldanganywa kuwa mate ya asbh kabla hujapga mswak n sumu kali inayoweza kuua nyoka..nliwatemea sna na hayo mate mazito ya asubh lakn wap,walkimbia km wanariadha...
 
kwa hilo halina ukweli
ila ninavyo jua ni kwamba nyoka ukianza kutema mate kabla yake basi nyoka yeye huwa anakosa nguvu ya kutema mate
 
Hiyo tulikuwa tunadanganyana wakati tuko darasa la 3
 
kwa hilo halina ukweli
ila ninavyo jua ni kwamba nyoka ukianza kutema mate kabla yake basi nyoka yeye huwa anakosa nguvu ya kutema mate

Kwa hi habari si ngeni masikioni mwangu nami.
 
Mi nilisikia unapomuahi kumtemea mate yeye hua_atemi badala yake anakimbia mbali zaid
 
sasa wewe unataka kumtemea mate nyoka wa watu kwani kakukosea nini eeeh???... ,huo si ukorofi sasa? akikung`ata utamlaumu nani???
 
Hiyo ni kweli kabisa nishawah kumtemea mate cobra akaganda sisi tukapita na kuna siku nlimtemea mate black mamba aisee hayakumpta vzur alikimbiaaaa
 
Back
Top Bottom