Huenda mimi Nina tabia hizo jaribu kufanya uchunguzi vizuriKabisa ningetamani kuwa na mume at least kama baba yangu, watoto wangu watakuwa wamepata the best father in the world
Ooh hongeraHuenda mimi Nina tabia hizo jaribu kufanya uchunguzi vizuri
Mkuu then you will remain single forever!! maana for me it seems you enjoying being single and you don't even wanna give it a try...so unataka kunambia mkuu sahv unajipigia tuu[emoji23][emoji23]??Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Weee mzee dikteta huyu[emoji85]Hahaaaa! Kwasababu gani?
Eiish... God forbidSasa huyo wa hivyo ndio size yako kabisaaa.
We mwanamke naona umenchoka eeh... Huntakii mema kabisa wewe[emoji35]Kweli kabisa, yaani ni boonge la kolabo.
Hako kastory nimetamani kangeendelea[emoji12], yawa ingima?itakuwa kweli maana kuna kasichana fulani miaka 2 iliyopita alikuja field ofisini kwetu kutoka chuo flani hivi, alikuwa ananiangalia sana kwa jicho la husda kila tulipokutana na alikuwa anapenda sana kuongea na mimi yaani kila ninachoongea alikuwa anafurahia sana
nikawa nachukulia poa tu kama ilivyo kwa college girls wengine wanaojiachia kwa kuvizia kupiga vibomu muda wa Lunch na lift, lakini huyu binti hakuwahi kunipiga kurungu chochote mpaka pale yeye mwenyewe aliponichana live kwamba ananipenda coz nimefanana na baba yake kuanzia sura,umbo mpaka kuongea....hahahahaah kilichoendelea hakina haja ya kuhadithia
TURUDI KWENYE MADA:
Hii dhana inaukweli flani hivi sababu kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna stage za kupitia kama vile uboyfriend na ugirlfriend,uchumba na ndoa kwa ujumla sasa katika stage zote hizo kuna jambo au kitu ambacho kimekusukuma kufikia hatua zote hizo na kitu chenyewe kinaweza kuwa hicho unachosema kuhusu kufanana kwa mmoja wa wazazi ingawa inakuwa ni vigumu kuangalia tabia esp mnapofikia kwenye hatua flani maana mara nyingi hisia na mahaba ndio zinakuwa zimehusishwa zaidi kuliko kitu kingine (soma kitabu- The Case Against Divorce)
my take;kila mtu anapenda kile chenye faida na manufaa so hata mimi napenda kupata mke mvumilivu kama mama yangu...period
Na upole huu nipate dikteta sinitakufwa jamaniNakutakia mema haswaaa ndio maana nakwambia wa hivyo ndio size yako.
Jamani kwahiyo ndio kusema nimemkosa alie kama baba yangu[emoji134] [emoji134]Mwenza huendana na formula ya wakati. The way walivyoishi mama na baba zetu ni tofauti na sisi. Mathalani kina baba wengi walikuwa stereotypical na akina mama walikuwa recessive, kitu ambacho wengi hatuna. Ukitaka kuwa kama mama au baba wa wakati huo unakosa mwenza!
Inabaki rohoni kuwa mapenzi kwa wazazi, devotion kwa mwenza!