Hapo inamaana kuna sifa zako ambazo anazipenda na zingine hazipendi.Mimi napendana sana na binti wangu.
Lakini anasemaga hapendi mwanaume mlevi kama mimi baba yake. Na cha ajabu anatamani kua na mwanaume mwenye upendo wa dhathi kama mimi baba yake.
Sasa.......
Misijui hapa inakuaje
Enhe..... Best faza anakuwa na sifa zipi??? Nikumbushe...Dada mtumishi
Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lolHeaven Sent njoo utaje sifa za Kaboom ...lol!
Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)Taja sifa za mshua wako nichukue jiko mie
Tupe tarehe utakayokuwa vzr tuiweke kwenye calendar yetu dada.Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lol
Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)
Huo ulevi hadi wa kumtisha binti heheMimi napendana sana na binti wangu.
Lakini anasemaga hapendi mwanaume mlevi kama mimi baba yake. Na cha ajabu anatamani kua na mwanaume mwenye upendo wa dhathi kama mimi baba yake.
Sasa.......
Misijui hapa inakuaje
Haha hongereni wababa wote mlio mifano bora kwa watoto na wake zenuWababa tumekua mifano poa sana kwa mabinti zetu[emoji39] [emoji39]
Siku hizi hakuna mwanamke mwenye sifa za kuolewa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my ribs..Uzuri ni kwamba kuna uwiano.
Hata wanaume wengi siku hizi ni wale wanaogawa free sperms kuogopa majukumu. Hopefully you guys won't be charging us anytime soon.
Aisee!![emoji12]Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lol
Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)
Eeeh nini tena bi mkubwa?Aisee!![emoji12]
Hahaha nyie na kui mniachie mbavu zangu tafwadhaliItakuwa hakuna wanaume wenye sifa za kuoa pia
Pita tu vizuri na tege lako kama banioAaah mie napita tu!