Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lol
Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)