Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Mimi napendana sana na binti wangu.
Lakini anasemaga hapendi mwanaume mlevi kama mimi baba yake. Na cha ajabu anatamani kua na mwanaume mwenye upendo wa dhathi kama mimi baba yake.
Sasa.......
Misijui hapa inakuaje
Hapo inamaana kuna sifa zako ambazo anazipenda na zingine hazipendi.
 
Enhe..... Best faza anakuwa na sifa zipi??? Nikumbushe...Dada mtumishi

Heaven Sent njoo utaje sifa za Kaboom ...lol!
Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lol
Taja sifa za mshua wako nichukue jiko mie
Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)
 
Tupe tarehe utakayokuwa vzr tuiweke kwenye calendar yetu dada.

Hate me at your own risk!
 
Mimi napendana sana na binti wangu.
Lakini anasemaga hapendi mwanaume mlevi kama mimi baba yake. Na cha ajabu anatamani kua na mwanaume mwenye upendo wa dhathi kama mimi baba yake.
Sasa.......
Misijui hapa inakuaje
Huo ulevi hadi wa kumtisha binti hehe
Wababa tumekua mifano poa sana kwa mabinti zetu[emoji39] [emoji39]
Haha hongereni wababa wote mlio mifano bora kwa watoto na wake zenu
 
Uzuri ni kwamba kuna uwiano.
Hata wanaume wengi siku hizi ni wale wanaogawa free sperms kuogopa majukumu. Hopefully you guys won't be charging us anytime soon.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my ribs..
 
Si mnanijua na magazeti yangu, can't define my pops in few lines, ntakuwa sijamtendea haki mfilipino wangu kabisa, afu sina mood ya magazeti leo, otherwise gazeti lake lingekamilika kesho lol

Sijawahi muomba Mungu anipe mwanaume mwenye sifa kama za baba angu, wala kuomba anipe mwanaume mwenye A, B, C, nope (it's ok pia kuomba unachokitaka as long as it is line with God's will). Huwa simply namuomba Mungu anipe ubavu wangu, mwanaume ambaye nilifanyika kutoka kwenye ubavu wake (huyu "tutaoana" tu kwenye hali zote). And naamini anaweza akaja kwenye package nayoiwish au tofauti kabisa na ile ninayoiwish. Nisije nikapishana na Boaz wangu bure, coz naconcentrate kumsubiri mrefu, kumbe nimeletewa mfupi mweeee. (What I want kinaweza kikawa tofauti kabisa na what I need..., God knows what's the best for me)
Aisee!![emoji12]
 
Back
Top Bottom