Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Mmmmh!! Kwani unalazimishwa kutoa jamani? Si unatoa kwa mapenzi yako, why ulalamike na kuona kuwa unachunwa?
Kupenda.. hututoi kwa kipenda... ingekuwa hivyo tungewapa dada zenu...maana nao ni wanawake
 
Huko kuomba hela kwa kukomoa ni kupi?? Kama nimeomba laki5 ukanipa, next nikapanda kidogo bado ukanipa, tatizo liko wapi?
Ndio hapo mie ninapochoka mwili, roho na maini.
Maana hakuna anaeshikiwa bunduki ili atoe, kama hauna kwanini ujitutumue? Si useme tu 'sina'
Hahaha hiyo kukomoa me siielewi pia, watatujibu wenyewe. Ukiona anakomoa si usimpe tu jamani. Ila ndo wanaogopa kunyimwa papuchi eti, ndo maana wanatoa kishingo upande. Ila mbona wapo wanaume wanakula papuchi Kwa raha zao na hawakomolewi? Hawajui kuchagua sijui ndo na ubahili
 
Kutoa ni hiari bwana, inamana kila mwanaume anaekula papuchi anatoa hela? Hebu wasituchoshe bwana, mapenzi ni ya wawili.

Kama uliingia kwa gia ya kumwaga hela basi zisikate, we endelea tu kuzitoa si unazo? Sasa ukilalama haitosaidia kitu.
 
Tatizo mnahesabu sana huko kuchuna yaani unaweza ukadhani umechuna bila wewe kugegedwa....
Kumbe kugegedwa ni compensation ya hela ulopewa? Mbona na nyie basi mnaombaga papuchi siku ya kwanza hata hela hujampqa mwenzio? Kila mahusiano yana misingi yake, kama mmeweka misingi ya kulipizana hela kwa papuchi, basi mjipange. Afu papuchi ina price kweli, sioni kama kuna hela ya kulinganishwa nayo teh
 
Kutoa ni hiari bwana, inamana kila mwanaume anaekula papuchi anatoa hela? Hebu wasituchoshe bwana, mapenzi ni ya wawili.

Kama uliingia kwa gia ya kumwaga hela basi zisikate, we endelea tu kuzitoa si unazo? Sasa ukilalama haitosaidia kitu.
Ukiona unachunwa si muache tu jamani eti
 
Ukiona unachunwa si muache tu jamani eti
Ndio hapo sasa, mtu kumhudumia mpenzi wake ile ya kawaida tuuu povu linamtoooka eti anachunwa!! Aiseee!!
Wawe tu responsible.
 
Kumbe kugegedwa ni compensation ya hela ulopewa? Mbona na nyie basi mnaombaga papuchi siku ya kwanza hata hela hujampqa mwenzio? Kila mahusiano yana misingi yake, kama mmeweka misingi ya kulipizana hela kwa papuchi, basi mjipange. Afu papuchi ina price kweli, sioni kama kuna hela ya kulinganishwa nayo teh
Umesema yote mama, these creatures are sooo selfish.
 
Namkubali mamangu kwa baadhi ya mambo ikiwa pamoja na roho nzuri, uvumilivu na moyo wa kusaidia. Anakosa baadhi ya mambo muhimu. Nimeoa, mke wangu anaweza akawa smart zaidi ya mke wangu, ingawa mapungufu madogo madogo yapo pia.
 
Kupenda.. hututoi kwa kipenda... ingekuwa hivyo tungewapa dada zenu...maana nao ni wanawake
Ni wanawake lakini sio wapenzi wenu.
We toa tu bwana, kama hauna basi sema hauna, ila ukiwa nayo usiache kutoa.
 
Habari zenu wana JF?

Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"

Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).

Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?

Niwatakie jioni njema.
POWER OF ATTRACTION. ..that's it!
 
Namkubali mamangu kwa baadhi ya mambo ikiwa pamoja na roho nzuri, uvumilivu na moyo wa kusaidia. Anakosa baadhi ya mambo muhimu. Nimeoa, mke wangu anaweza akawa smart zaidi ya mke wangu, ingawa mapungufu madogo madogo yapo pia.
Ni kweli, hakuna binadamu alie mkamilifu.
 
Haya chacha!! Wory not, ukikua utajua tu.
Nikue Mara ngap na umri huu babu Mimi siwalaumu vijana kupenda waliowazid age maana hata ulaya wapo pia ni maamuz Tu u unaweza kuwa kipato kizur but jimama ukamatamani kuwa Nalo au Jibaba kama Baba yako haha
 
Back
Top Bottom