Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha
Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Nampenda sana mama yangu, ametulea vizuri sana ila sasa hivi natafuta mke na mama yangu siyo reference. Natumaini na nakusudia kupata kitu tofauti kabisa.
Sipendi kujibu 'why?'
binafsi namkubali sana mamaangu. ila kuhusu mke nina vigezo vyangu
You may think it's funny but there's always a method to my madness.
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!
umeoa mke mwenye sifa za dada yako? why?
alikulea,yo so cloz.......???
Most definitely.
Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'
Inategemea na baba yako yukoje au mama yako,maana kuna wazazi wengine ni majanga hutaki hata mwanao arithi huko
what happened ngabu? if you dont mind though!!
OMG!!!
Unajua Siku hizi nimekugaya sijui hizo taarifa unazo[emoji12]
the best father and huby, lucky us.
umeniwakilisha mkuu