Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Nampenda sana mama yangu, ametulea vizuri sana ila sasa hivi natafuta mke na mama yangu siyo reference. Natumaini na nakusudia kupata kitu tofauti kabisa.
Sipendi kujibu 'why?'
 
ungejibu why ingekuwa poa kweli as umenifanya niwe curious!

umeoa mke mwenye sifa za dada yako? why?
alikulea,yo so cloz.......???

Most definitely.

Ingawa huko kwa mungu mi wala si mdau lakini nikiangalia hao unaowaita products za mungu nabaki kujiuliza tu....'is that the best he could do?'

Inategemea na baba yako yukoje au mama yako,maana kuna wazazi wengine ni majanga hutaki hata mwanao arithi huko

what happened ngabu? if you dont mind though!!


Unajua Siku hizi nimekugaya sijui hizo taarifa unazo[emoji12]

the best father and huby, lucky us.

umeniwakilisha mkuu
 
Back
Top Bottom