Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya ugonjwa wangu ni mafua na home tu na baada ya siku 3 au 4 nimepona pia nikiwa na kidonda baada ya siku 3 kimepona na nikikwambia najisikia vibaya nikweli nielewe . Je hali hii ikoje kiafya? Maana najikuta naogopa aisee labda kuna siku nitazima kabisa huenda naumwa ndani kwa ndani sijijui. Lkn wengine home wanaumwa kawaida kama wengine.pia nilishawahi muuliza mama hali hii akasema mwilini mwangu sina chanjo yoyote hata zile chanjo za utotoni hakunipeleka kuchomwa na nikijiangalia nikweli hata ile ya ndui siioni pegani lkn wengine home wanazo .je hii imekaaje je ni sababu ya kutopewa hizi chanjo au ni hali tu ya kiafya?