Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Hizi kauli zina ukweli ndani yake?
"Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi
"Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA) viongozi wa timu wanakasirika" - Prince Dude, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC kipindi bado yupo Azam FC.
"Azam wanaumia sana wakifungwa na Yanga, wakifungwa na Simba hawaumii, Ricardo Momo, Mchambuzi.
"Azam wanajituma sana wakicheza na Yanga kuliko wakicheza na Simba" - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
#FutbalPlanetUpdates