Je, hizi kauli za wachezaji wa Azam dhidi ya mechi za Simba na Yanga zina ukweli?

Je, hizi kauli za wachezaji wa Azam dhidi ya mechi za Simba na Yanga zina ukweli?

Je hiziKauli za wachezaji wa Azam dhidi ya mechi za Simba na Yanga Zina ukweli?

"Azam wanaumia sana wakifungwa na Yanga, wakifungwa na Simba hawaumii, Ricardo Momo

"Azam wanajituma sana wakicheza na Yanga kuliko wakicheza na Simba" - Edo Kumwembe
Aisee! Kumbe Ricardo Momo na Edo Kumwembe wamewahi kuichezea Azam, halafu hawasemi?
 
Na bado,mwaka huu wazaramo wanasema ng'wadu kwa ng'wadu,tutaanza kusikia yale malalamiko ya kwenda ikulu
Yaaah mkuu nafasi ya pili Simba wamepa mpinzani .....singida fountain
 
Hizi kauli zina ukweli ndani yake?

"Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi

"Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA) viongozi wa timu wanakasirika" - Prince Dude, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC kipindi bado yupo Azam FC.

"Azam wanaumia sana wakifungwa na Yanga, wakifungwa na Simba hawaumii, Ricardo Momo, Mchambuzi.

"Azam wanajituma sana wakicheza na Yanga kuliko wakicheza na Simba" - Edo Kumwembe, Mchambuzi.

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 3108370
Ni aina nyingine ya match fixing, na tutawa P.didy wote nje ndani *****
 
Back
Top Bottom