Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANGA UMEANZA KUISHABIKIA MWAKA JANA ALIPOSAJILIWA MAYELE NDIO MAANA HATA HAUJUI KUWA YANGA IMESHAWAHI KULA CHUMA 6 MWEHU WEWE USIEJUA MPIRAEdited..... even though....it's irrelevant to the Post
USHAHIDI NI MWIGULU NCHEMBA AMBAYE ANAIMILIKI SINGIDA BLACK STARS NA HAPO HAPO NI MWANACHAMA NA MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI WA YANGA.Ushahidi ukwapi
Ushahidi wa Azam kwamba ni timu b ya Simba uko wapi?Ushahidi ukwapi
MTAMPIDIDI NANI WAKATI KUPIDIDIWA NDO MICHEZO YENU UNAKUMBUKA BAADA YA KABWILI KUPIDIDIWA AKASEMA SIYO PEKE YAKE HADI MASHABIKI WANAPIDIDIWA JUZI KATI TU MWANAYANGA MWENZENU DAIMOND PLATNAMZ KAPIDIDIWANi aina nyingine ya match fixing, na tutawa P.didy wote nje ndani *****
Hizo ni hisia zako hasa pale mnapoona matarajio yenu yanakwamaAzam anacheza chini ya Kiwango dhidi ya kolo
MTOTO MDOGO HUWEZI KUJUA VITU KAMA HIVI SAMAHANI LAKINI UNA MIAKA MINGAPI? MBONA AKILI ZAKO ZA KITOTO HIVI?Nani alikudanganya Kwamba ye ni mmiliki
Na Singida black stars nayo ni simba c.Je Azam ni Simba b)
Kwa hali hii basi Dube alikuwa sahihi kuondoka kwenye hiyo timu. Na tangu ameondoka, sikumbuki kama hiyo timu iliwahi kushinda mechi yoyote ile dhidi ya hao ndugu zao.Hizi kauli zina ukweli ndani yake?
"Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi
"Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA) viongozi wa timu wanakasirika" - Prince Dude, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC kipindi bado yupo Azam FC.
"Azam wanaumia sana wakifungwa na Yanga, wakifungwa na Simba hawaumii, Ricardo Momo, Mchambuzi.
"Azam wanajituma sana wakicheza na Yanga kuliko wakicheza na Simba" - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 3108370
Mzee "siioni simba" vipi mzee bado hauioni simbaYaaah mkuu nafasi ya pili Simba wamepa mpinzani .....singida fountain
😆😂😂😄😄😃😃😃 Ila wabongo hamchelewi na jamboMTAMPIDIDI NANI WAKATI KUPIDIDIWA NDO MICHEZO YENU UNAKUMBUKA BAADA YA KABWILI KUPIDIDIWA AKASEMA SIYO PEKE YAKE HADI MASHABIKI WANAPIDIDIWA JUZI KATI TU MWANAYANGA MWENZENU DAIMOND PLATNAMZ KAPIDIDIWA