Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaajabu ... makolo wanapingaKuanzia Jan 2025 nashauri JF iwe na jukwaa jipya la kusema ukweli tu, ili tufanane na wazungu japo kitu kimoja! Kama unajua mtu kasema ukweli usipinge hata kama inakuuma!
Naanza ukweli mmoja leo kama hivi, Azam kukamia Yanga na kuumiza wachezaji wa Yanga ni ukweli, hata Mayele alisema, na wengine wengi na hata ukiangalia mechi hizo zinaonesha!! Ukipinga hili wewe utakuwa na undugu na PDiddy na huna tofauti na wazee wa kibongo wenye utamaduni huo, vijana tusiwafuate.