Je, hizi kauli za wachezaji wa Azam dhidi ya mechi za Simba na Yanga zina ukweli?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hizi kauli zina ukweli ndani yake?

"Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi

"Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA) viongozi wa timu wanakasirika" - Prince Dude, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC kipindi bado yupo Azam FC.

"Azam wanaumia sana wakifungwa na Yanga, wakifungwa na Simba hawaumii, Ricardo Momo, Mchambuzi.

"Azam wanajituma sana wakicheza na Yanga kuliko wakicheza na Simba" - Edo Kumwembe, Mchambuzi.

#FutbalPlanetUpdates

 
Misimu michache nyuma pale England kuna timu ilikua inaitwa Wigan, yenyewe ligi nzima ilikuwa inadili na Man City tu. Hata baada ya City kununuliwa bado iliendelea kumtembezea mabanzi. 2013 kudhihirisha anavyomuweza akamgonga palepale Wembley Wigan akawa bingwa wa FA CUP na akashuka daraja msimu huo huo.

Wakamiaji wapo dunia nzima.
 
So hizi timu zinaanzishwa purposely au ni bahati mbaya tu zinatokeq??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…