Je, hizi kauli za wachezaji wa Azam dhidi ya mechi za Simba na Yanga zina ukweli?

Ni aina nyingine ya match fixing, na tutawa P.didy wote nje ndani *****
MTAMPIDIDI NANI WAKATI KUPIDIDIWA NDO MICHEZO YENU UNAKUMBUKA BAADA YA KABWILI KUPIDIDIWA AKASEMA SIYO PEKE YAKE HADI MASHABIKI WANAPIDIDIWA JUZI KATI TU MWANAYANGA MWENZENU DAIMOND PLATNAMZ KAPIDIDIWA
 
YANGA UMEANZA KUISHABIKIA MWAKA JANA ALIPOSAJILIWA MAYELE NDIO MAANA HATA HAUJUI KUWA YANGA IMESHAWAHI KULA CHUMA 6 MWEHU WEWE USIEJUA MPIRA
Hata umri wang ni mkubwa zaidi yako
 
USHAHIDI NI MWIGULU NCHEMBA AMBAYE ANAIMILIKI SINGIDA BLACK STARS NA HAPO HAPO NI MWANACHAMA NA MJUMBE WA BODI YA WADHAMINI WA YANGA.
Nani alikudanganya Kwamba ye ni mmiliki
 
Kwa hali hii basi Dube alikuwa sahihi kuondoka kwenye hiyo timu. Na tangu ameondoka, sikumbuki kama hiyo timu iliwahi kushinda mechi yoyote ile dhidi ya hao ndugu zao.
 
MTAMPIDIDI NANI WAKATI KUPIDIDIWA NDO MICHEZO YENU UNAKUMBUKA BAADA YA KABWILI KUPIDIDIWA AKASEMA SIYO PEKE YAKE HADI MASHABIKI WANAPIDIDIWA JUZI KATI TU MWANAYANGA MWENZENU DAIMOND PLATNAMZ KAPIDIDIWA
πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Ila wabongo hamchelewi na jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…