FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama ni za kweli, aisee tija ipo...Potezea.
Hazina tija yoyte
Huo sio ukristoSabaya chali jiwe chali in nabii lema prophet
KILA mtu uvuna apandachoHuo sio ukristo
Akosaye husamehewaKILA mtu uvuna apandacho
Ndio mimi nimehisi hivyo, huyo Sabaya alikuwa kwenye bata la Arusha alilosema @official_nai kwamba atalimiss?Mbona mmoja anaongea Kama alikua amelewa
Hapa Lema alikuwa anamrekodi Sabaya spate attention na amefanikiwaHaya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
Hizo lema katengeneza ,ndio wale wale waliokunywa uji wa mgonjwaHaya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
Ukristo ni kuuwa wenzio na kusisitiza uombeweHuo sio ukristo
Hiyo clip ni ya ukweli ilishazunguka sana mitandaoni enzi sukuma og akiwa hai. Na hii clip ni moja ya kigezo kilichompandisha chati sabaya kwa marehemu sukuma og kwamba sabaya ni loyal kwake piga ua.Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
Utavuna ulichopanda mkuu .Akosaye husamehewa
Kwamba kuwa usalama ni kuwa juu ya sheria?Kuna tetesi Sabaya ni usalama na ataachiwa