Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

Kwahiyo ya Lema haitakiwi kuiulizia iwapo ni OG au sijaelewa?🤔
 
Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?

Nimeisikiliza.
Godbless Lema hakuwahi kukanusha wala Sabaya hakukanusha pia.

Hii voice note imewekwa mtandaoni mwaka mmoja uliopita ambapo ni wiki chache kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Kuna jambo hapo.
Tusibeze
Tusisherehekee anguko la asiye haki
 
Asante nabii Lema unabii wako umetimia kwa JPM na kwa Ole!
 
Hapa Lema alikuwa anamrekodi Sabaya spate attention na amefanikiwa

Nimependa maneno ya Sabaya "Lema we muhuni na Mimi pia muhuni"

Kumbe Lema ni muhuni tu ila kamuotea muhuni mwenyewe, ila pia najiuliza kwanini Lema kawahusisha wachaga kwenye mazungumzo yake,

Ni mpango uliosukwa??
Kamsaidie kifungo huko kisongo
 
Back
Top Bottom