Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

Kwahiyo ya Lema haitakiwi kuiulizia iwapo ni OG au sijaelewa?🤔
 
Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?

Nimeisikiliza.
Godbless Lema hakuwahi kukanusha wala Sabaya hakukanusha pia.

Hii voice note imewekwa mtandaoni mwaka mmoja uliopita ambapo ni wiki chache kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Kuna jambo hapo.
Tusibeze
Tusisherehekee anguko la asiye haki
 
Asante nabii Lema unabii wako umetimia kwa JPM na kwa Ole!
 
Kamsaidie kifungo huko kisongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…