Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

Majibu ya vipimo vya hepatitis kuna utalaam wake jinsi ya kuyainterpret.

Yeah ni kweli 100% mitishamba inaua figo though siyo yote.
Daaah kidogo unanipa picha kuna mtu nliwahi msikia anasema yy mwanzo baada ya kufanya vipimo regence akawa na wadudu Mia 8, akapewa dawa, baada ya miezi 6 kurudi wadudu wakawa mia 4, dokta akamwambia hapo aendeleze tuu kunywa dawa na kujichunga wadudu wenyewe wataondoka mwilini.... Je ndo hivyo ndg au
 
Uongo mtupu.

Matapeli yanayouza dawa za hospitali yanatengeneza uongo ili dawa za mimea zionekane hazifai.

Figo zinaharibiwa na machanjo pamoja na madawa ya hospitali.

Huwezi kuharibiwa figo kwa kunywa mchaichai...

Wapumbavu wakubwa hawa.
 
Uongo mtupu.

Matapeli yanayouza dawa za hospitali yanatengeneza uongo ili dawa za mimea zionekane hazifai.

Figo zinaharibiwa na machanjo pamoja na madawa ya hospitali.

Huwezi kuharibiwa figo kwa kunywa mchaichai...

Wapumbavu wakubwa hawa.
Ni kweli wanafanya kuogopesha watu ili wauze madawa mfano mi kuna watu wengi tu nimewasaidia bure kwenye inshu ya homoni kutokuwa balance hosptalin kila wakipewa dawa inapoa kwa muda lkn inarudi na dawa yake ni ya miti shamba na wamepona mazima sasa shangaa unaambiwa maneno kibao ya kuogofya

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahahaha naona umeweka na tangazo lako la biashara hapo hapoo
 
Hahahahahahahahaha naona umeweka na tangazo lako la biashara hapo hapoo
Mkuu sifanyi biashara yoyote na kama unafatilia humu mada nyingi nim share dawa humu bila kificho ndo maana hata hii mada hapo juu dawa nmeweka hapo bila kificho. Sko kama unavyofkiria wewe hapo bali naongea uhalisia ulivyo mi najua dawa nyingi lkn sfanyi biashara kwa afya ya mtu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Asantee kwa kutoa elimu ya bure
 
Usijal Mzee mwenzanguu, pamojaa
 
Kuhusu vyakula wakati unatumia dawa sansana ni kuacha kula vyakula na kunywa vinavyozalishwa viwandani kama soda hzo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwa haya maelezo yako ninaimani hii dawa yako ni ya hakika kabisa, nilikuwa nasubiri maelekezo yako, shukran sn mkuu, tunasubiri mrejesho wa mwenye tatizo.
 
Masongwe ni mmea gani ? Picha yake tafadhali
 
Ndio ni kweli unamaajabu yake mengi tu hilo likiwa moja wapo mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hiyo mimea uliyoitaja ni dawa ya homa ya ini inapatikana wapi mkuu, na vp kuhusu huo mmea wa mzalia nyuma umesema kutibu hepatitis B ni moja ya maajabu yake je maajabu mengine ni yapi mkuu.

Natanguliza shukran [emoji120]
 
Changamoto ni kwenye kuupata tu.

Ngoja tumbane kutafuta hizo package mkuu
Kama upo Dar nenda ujaribu pale kariakoo sokoni (shimoni) ulizia maduka ya kisuna zipo kila aina ya dawa za kisuna mkuu tena kwa bei elekezi kabisa.
 
Muongo mkubwa wewe!

Tangu lini dawa za mimea zikaua figo?

Kwendeni na makemikali yenu huko.

Mitishamba ni salama kwa asilimia zote na inafanya kazi kwa ubora usiotia mashaka.
Kuna wapuuzi wengi humu JF wanaeneza huo upumbavu wao, wakati watu tunatumia hizi dawa za mitishamba miaka nenda rudi na tunapona 100%.
 
Kuna dawa ya mtu asiyeona?
Macho yamekosa nguvu kabisa kwa sababu ya pressure ya macho. Umri ni miaka 69.
Natanguliza shukran. .
 
Mkuu naomba uweke hapa hiyo dawa ya homoni imbalance utanisaidia sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…