Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

Kuna dawa ya mtu asiyeona?
Macho yamekosa nguvu kabisa kwa sababu ya pressure ya macho. Umri ni miaka 69.
Natanguliza shukran. .
Hiyo ya macho nnachojua dawa ya macho ni vifuu vya nazi ,unavichoma unasaga unapata unga wake mgonjwa anakuwa anatumia kwenye maji ya vuguvugu kikombe kimoja kutwa mara 3 lkn ndani ya nusu saa kabla ya kula ndani ya wiki 3

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Elimu ya bure kabisa hii [emoji120][emoji120]
 
Hiyo ya macho nnachojua dawa ya macho ni vifuu vya nazi ,unavichoma unasaga unapata unga wake mgonjwa anakuwa anatumia kwenye maji ya vuguvugu kikombe kimoja kutwa mara 3 lkn ndani ya nusu saa kabla ya kula ndani ya wiki 3

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Vifuu ukishachoma si vinakuwa majivu mkuu au unachomaje??
 
Kuna namna ya kuvichoma mkuu hautumii mkaa bali majani mepesi tu yale unaweka kwenye ktu kama bati hvi kama umewahi kuona wanavyobabua wale samak wadogo wanaitwa furu huko kanda ya ziwa utàelewa unatanguliza majan kdogo unaweka vifuu na majan mengne juu vikiwa vyeus tu unatoa unatwanga unapata unga wake

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nnavyojua kwa haraka haraka japo uhakika snao make sjawahi mshuhudia mtu ameathirika nalo kuna aina flani hivi ya Aloevera inapatikana sna porini yenyewe inakuwa syo ya kijani ile ndo imesemekana kua inaua figo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ni ile wengine wanauza wanasema dawa ya nguvu za kiume. Nilikuwa duka moja la mmama mwarabu akamchukulia mme wake na ilikuwa routinely. Midogo hivi na rangi kama imechomwa na jua
 
Tapeli wewe.

Utashindwa kwa Jina La Yesu.

Madawa yenu ya hospitali ndio yanaua figo kwa kasi ya ajabu.

Mimea ya mwenyezi mungu ni salama na haina tatizo lolote.
Watu hapa tunatumia scientific evidence na research au ushuhuda. Mambo ya kwa jina la Yesu peleka kwenye majini uko. Mnakuwa wapumbavu mnanisha kitu bila hoja wala uzoefu wowote kisa imani zenu.

I can confirm 100% kwamba dawa za kienyeji zisipozingatiwa zina madhara. Hasa usipojua dozi. Unaambiwa chemsha kunywa kikombe kidogo, kikombe kidogo ndio nini. Mimi kikombe changu kidogo ni 350ml, huyu atatafsiri kidogo ni 550ml, mwingine atatumia 200ml.

Nikiwa mdogo niliwahi pata kiungulia kikali baada ya kuelezwa vibaya dawa ya kikohozi nikazidisha dozi. Bado kuna dawa fulani ya kupiga chafya nilitumia nyingi bila kujua kiasi nikaumwa kichwa vibaya. Sasa imagine hizo ziwe ni dawa za kutumia siku 120
 
Ushasema ulitumia vby, hata dawa za hospitali ukitumia vby pia zina madhara, by the way baki na imani yako usilazimishe unachoamini wewe kiwe hivyo.
 
Back
Top Bottom