Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.
Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo kujiimarisha kisiasa.
Ametoa nafasi kwa Mwenyekiti wa CCM mwenye kufia kubwa ya Urais WA nchi. Je Mhe.Rais atasimamia urais au atumia uwanja huo kutafuta Kura 2025? Akitumia jukwaa Hilo kisiasa madhara yake Kwa chadema NI yapi?