Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mama ametanguliza maslahi ya taifa mbele. Anaendelea kutibu nchi, kuponya na kujenga upendo, umoja, amani na mshikamano. This is the end of politics of confrontations and hostilities into politics of reconciliation and developing.Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.
Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo kujiimarisha kisiasa.
Ametoa nafasi kwa Mwenyekiti wa CCM mwenye kufia kubwa ya Urais WA nchi. Je Mhe.Rais atasimamia urais au atumia uwanja huo kutafuta Kura 2025? Akitumia jukwaa Hilo kisiasa madhara yake Kwa chadema NI yapi?
Kwa watanzania premise hiyo inawezekana isiwe sawa hata kidogo. Watakuja maana hawana akiliMama kaona akiitisha mkutano wa hadhara wa ccm watakuja watu wachache kuona wasanii
Italenga yoteMbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.
Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo kujiimarisha kisiasa.
Ametoa nafasi kwa Mwenyekiti wa CCM mwenye kufia kubwa ya Urais WA nchi. Je Mhe.Rais atasimamia urais au atumia uwanja huo kutafuta Kura 2025? Akitumia jukwaa Hilo kisiasa madhara yake Kwa chadema NI yapi?
Nchi haijawahi kuendelea kwa kupiga domo!Mama ametanguliza maslahi ya taifa mbele. Anaendelea kutibu nchi, kuponya na kujenga upendo, umoja, amani na mshikamano. This is the end of politics of confrontations and hostilities into politics of reconciliation and developing.
P
Hili ni hitimisho jumlishi ambalo linaonyesha upungufu mkubwa. Kama mtu mweusi ni rahisi kumdanganya mbona akina Bob Marley, Malcom X, Martin Luther King Jr, na wengine hawakudanganywa kirahisi kama unavyodanganya?Nchi haijawahi kuendelea kwa kupiga domo!
Mtu mweusi ni rahisi sana kumdanganya kinachofanyika ni kweda kujenga himaya zao za kisiasa mwananchi aliyeko kasulu na Katori hana faida yeyote na brahbrah hizo!
Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.