Je huduma za benki ya NBC zikoje kwa wazoefu?

Extra focus

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2021
Posts
662
Reaction score
1,297
Wakuu habari za weekend,

Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao.

Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria kuhamia NBC kama kutakuwa na huduma nzuri.

Naombeni uzoefu wenu
 
Equity, KCB ama Exim
 
Natamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.
 
Umenichekesha mkuu,Nilikuwa na chap chap Account,kuna ofisi nikahitaji waniwekee hela humo wakaikataa eti haiaminiki,nikaibadilisha kuwa Personal ndo wakaweka mtonyo🤓🤓🤓🤓🤓
 
Natamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.
Wafanyakazi wa Equity miezi ya hivi karibuni wamesomewa mashtaka mahakamani wengi wamejichotea pesa hovyo hovyo hadi nashangaa benki gani watu wanajibebea tu pesa kirahisi namna hii.
Hapaaminiki
 
Back
Top Bottom