Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,727
- 4,060
Kwa haya yalotokea bank in my house.𤣠Nenda na wewe isikubali wakuache
Kwa haya yalotokea bank in my house.𤣠Nenda na wewe isikubali wakuache
Umenichekesha mkuu,Nilikuwa na chap chap Account,kuna ofisi nikahitaji waniwekee hela humo wakaikataa eti haiaminiki,nikaibadilisha kuwa Personal ndo wakaweka mtonyoš¤š¤š¤š¤š¤
Wako poa,sijaiona usumbufu wowoteUkilinganisha huduma na bank nyingine unawaonaje?
Equity wapo vizuriNatamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.
Watakuwa na uongozi mbovu.Wafanyakazi wa Equity miezi ya hivi karibuni wamesomewa mashtaka mahakamani wengi wamejichotea pesa hovyo hovyo hadi nashangaa benki gani watu wanajibebea tu pesa kirahisi namna hii.
Hapaaminiki
Asante sana mkuuWako poa,sijaiona usumbufu wowote
Asante kwa mrejesho mkuuNina NBC muda mrefu sana. Sijawahi kukwazika, ila mimi sio mfatiliaji makato
Hii ni hatari sana aiseWafanyakazi wa Equity miezi ya hivi karibuni wamesomewa mashtaka mahakamani wengi wamejichotea pesa hovyo hovyo hadi nashangaa benki gani watu wanajibebea tu pesa kirahisi namna hii.
Hapaaminiki
100%Sawa sawa mkuu
Wako haraka kwenye huduma na hawana nyodo?
Ni huzuni kubwa,Waliniwekea afu 12 tu mkuu,nikatoa afu 10šššššMkuu nisaidie ata 10k āŗļø
Na haiaminiki kweli!ššš
Wengi hawaiamini Chapchap sijui kwanini?
Absa na NBC ni mapacha ila atleast absa hakuna wingi wa wateja.Sawa sawa mkuu.
Vipi kuhusu Absa?
Fuatilia makato utagundua kitu, kwa wenye vipato vikubwa sio ishu sana.Nina NBC muda mrefu sana. Sijawahi kukwazika, ila mimi sio mfatiliaji makato
Sawa sawaAbsa na NBC ni mapacha ila atleast absa hakuna wingi wa wateja.
Yako juu sana ukilinganisha na CRDB?Fuatilia makato utagundua kitu, kwa wenye vipato vikubwa sio ishu sana.
Ni muda sijatumia CRDB ila kuna vimakato ambavyo hupati taarifa yeyote hadi uwe unafuatilia sana, inakatwa juu kwa juu kimya kimya.Yako juu sana ukilinganisha na CRDB?
Shukrani sana mkuuNi muda sijatumia CRDB ila kuna vimakato ambavyo hupati taarifa yeyote hadi uwe unafuatilia sana, inakatwa juu kwa juu kimya kimya.