Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
Equity, KCB ama EximWakuu habari za weekend,
Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao.
Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria kuhamia NBC kama kutakuwa na huduma nzuri.
Naombeni uzoefu wenu
Vizuri bila kutoa maelezo hakuna ulichoeleza unamsukumia mwenzio kwenye shimo la mamba halafu hajui kuogeleaWapo vizuri mkuu
Natamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.Wakuu habari za weekend,
Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao.
Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria kuhamia NBC kama kutakuwa na huduma nzuri.
Naombeni uzoefu wenu
Umenichekesha mkuu,Nilikuwa na chap chap Account,kuna ofisi nikahitaji waniwekee hela humo wakaikataa eti haiaminiki,nikaibadilisha kuwa Personal ndo wakaweka mtonyo🤓🤓🤓🤓🤓Natamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.
Sawa sawa mkuu.Equity, KCB ama Exim
Sawa sawa mkuuNBC wapo vizuri sana
Hapana mkuuMnataka mhame mtuache peke yetu wakuu?
Tupambane sote 😭😭😭
Wafanyakazi wa Equity miezi ya hivi karibuni wamesomewa mashtaka mahakamani wengi wamejichotea pesa hovyo hovyo hadi nashangaa benki gani watu wanajibebea tu pesa kirahisi namna hii.Natamani nihamie Equity ila nikikumbuka Wakenya ni wajanja wajanja kama Wanaijeria naona bora nirudi kufufua chapchap akaunti yangu kule NMB.
Ukilinganisha huduma na bank nyingine unawaonaje?Yani Mimi kwa sasa ishu za kibank bongo naogopa kuweka mpunga kabisa,hata huko NBC nina kampunga
Ila naona sio salama.
Kabisa mkuu.Vizuri bila kutoa maelezo hakuna ulichoeleza unamsukumia mwenzio kwenye shimo la mamba halafu hajui kuogelea
Shukrani sana mkuuHuko km umewashindwa NMB hao hutowaweza bora urudi NMB tu angalau kidogo ila huko sijui labda uende kuomba Platinum Card ndio watakuona wa maana sana
🤣 Nenda na wewe isikubali wakuacheMnataka mhame mtuache peke yetu wakuu?
Tupambane sote 😭😭😭
Mkuu nisaidie ata 10k ☺️Umenichekesha mkuu,Nilikuwa na chap chap Account,kuna ofisi nikahitaji waniwekee hela humo wakaikataa eti haiaminiki,nikaibadilisha kuwa Personal ndo wakaweka mtonyo🤓🤓🤓🤓🤓