Je huu ndio ukweli kuhusu mshana jr ?

Je huu ndio ukweli kuhusu mshana jr ?

Nilikutana nae anga la ufilipino alikuwa sijui anaenda wapi ungo wake una spidi ya hatari maana alituovataki
 
@ Mshana jr jibu shutuma zako hapo juu... Na mimi nataka unibadilishie cheti changu cha diploma kiwe masters!! 😀 😀 😀 😀 😀
 
[emoji23] [emoji23] itachukua miaka miwili uko tayari!
 
Kwa usawa huu ukiangalia kutoka dip, uingie degree 3yrs halafu ndio uanze ishu ya masters miaka mengine kibaaaaao ningekwambia nipo ready! 😀 😀 😀 ila mbadilishie huyo jamaa atoke kwenye ubashite aende kwenye div 1 kwanza! 😀 😀 😀 😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa usawa huu ukiangalia kutoka dip, uingie degree 3yrs halafu ndio uanze ishu ya masters miaka mengine kibaaaaao ningekwambia nipo ready! 😀 😀 😀 ila mbadilishie huyo jamaa atoke kwenye ubashite aende kwenye div 1 kwanza! 😀 😀 😀 😀
Sasa jamaa yupi tena?
 
Back
Top Bottom