Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

Je, huu ndo utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

Hata siamini..

Naomba Neema asipotezwe.
Duh,
Polisi wanatakiwa wasiwe na upande kisiasa maana ni watumishi wa umma wanaolipwa kutokana na kodi za wananchi wote.

Kitendo cha polisi kujigeuza taasisi na machawa wa chama ni uhalifu mkubwa, na kumeharibu kabisa siasa za nchi
 
Mmesikia
Kuita watu fala fala ni kosa la jinai mtakamatwa.
Hivyo muwe na nidhanu nyie wa Tanzania, mfate sheria.
 
Back
Top Bottom