Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Branch managers wana uhuru mkubwa sana wa kucheza michezo hiyo ya hatarikuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.