Je, huu ni mchezo mchafu?

Je, huu ni mchezo mchafu?

Pia kuna honesty mistake huwanafanya wafanyakazi unakuta anakosea talakimu Moja kwenye account wakati wa kuweka taharifa pesa zinaenda sehemu nyingine, akiwahi kushtuka wakati wa kuhakiki inabidi a reverse muamala.

Pia Hata kwenye simu zetu hasa kabla ya mitandao kuweke huduma ya kurudisha jina watu walikuwa wanakosea sana tu.

Ni muhimu lakini afatilie, maana jumbe huwa na number za mawasiliano kama hutambui muamala.
 
Wiki nzima wanakosea tu?
Pia pesa zinatolewa kwa check kwa maelezo ya jumbe anazotumiwa
 
kuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.
Ujue hio ni mtu alikosea kufanya transfer ni mtu wa ndani ,sasa hio ni shoti mzee hakuna hela ya bure . Wali i reverse fasta

Huyo teller angeitoa maana yake kungekuwa ma mtu ambae angeingia kwenye kesi na utaratibu wa kutoa hio gela sio rahisi. Kwani lazima ipitishwe kwenye mfumo na signature za mwenye limit ya ku aurthorize hio transaction

Huyo teller na wewe mmngejibu tuhuma
 
Hahaha ukiona mtu anaogopa pesa, jua ni za mgao wa wale WASIOJULIKANA.

Deals zao huwa wanapeana cash, ukiona mtu ana account inasoma miliini 200, mara wametoa mil 100 hashtuki, usimuone mjinga, anajua ni HONEY TRAP.

Mitego hiyo sogea udakwe, nenda wewe ukaseme ni zako uozee jela.

Ukiwa attached na pesa, wanawake au familia usiwe jambazi au usifanye deals chafu, utakamatwa kama panzi.

KAMA HAZIMSHITUI MUHUSIKA, HATA WEWE USIZITAMANI.
Yani zipitie kwangu halafu eti niogope jela .. ?? Mather father....wajaribu kwangu waone
 
Ujue hio ni mtu alikosea kufanya transfer ni mtu wa ndani ,sasa hio ni shoti mzee hakuna hela ya bure . Wali i reverse fasta

Huyo teller angeitoa maana yake kungekuwa ma mtu ambae angeingia kwenye kesi na utaratibu wa kutoa hio gela sio rahisi. Kwani lazima ipitishwe kwenye mfumo na signature za mwenye limit ya ku aurthorize hio transaction

Huyo teller na wewe mmngejibu tuhuma
njbu tuhuma kwan hela ilikuwa kwenye account yangu? teller alidai anaweza toa hyo pesa, akaomba mgao wake uwe 25m baada ya kutoa, huyo boya akakataa akaenda kwa manager akarudi na mapumbu yake tu.
 
Yani zipitie kwangu halafu eti niogope jela .. ?? Mather father....wajaribu kwangu waone
Hahaha huyo wana muita huo sio mgao, ndio maana ka relax. Deal chafu unalipwa chako kabisa tena cash, huwa huwekewi pesa bank. Ndio maana huyo anamshangaa mwenye accaount kuto kushtuka kuoana mamilioni kwenye accaount yake na katualia tuli.
 
kuna boya mmoja ziliingia 250m, akanistua nikaenda kuongea na teller mmoja akasema anaweza toa hyo hela ila atachukua 25m, boya akakataa akaenda kwa branch manager, ndani ya nusu saa account inasoma laki na 72 yake.
Jamaa atakuwa msukuma ana ushamba uliochanganyika na ujinga.

Ukitaka kula lazima uliwe.

Liwa kidogo, kula sana.

Anataka zote kwani ni za babaake?
 
CRDB wanasema account yangu namba imebadilika,wasiliana na tawi la CRDB lililo karibu yako.
Nimekwenda benki kuuliza,what is this,mimi nimebadilisha account namba yangu lini?
Wanasema yapo matatizo lakini hapa hatuna facility za kukuhudumia,nenda tawi lingine.
Kwa hiyo bado nawatafuta benki
Lakini account yangu benki sasa hivi haina hela.
 
Back
Top Bottom